Habari za dunia kwa Kiswahili

DW KISWAHILI

 • 29 November 2020: Ethiopia: Makombora yarushwa kuelekea nchi jirani ya Eritrea - DW-WORLD´s Kiswahili Homepage
  Makombora kutoka mkoa wa kaskazini wa Tigray nchini Ethiopia yameulenga mji mkuu wa Eritrea, Asmara saa kadhaa baada ya Waziri Mkuu wa Ethiopia Abiy Ahmed kutangaza kumalizika kwa operesheni ya kijeshi katika eneo hilo.
 • 29 November 2020: Abiy Ahmed: Jeshi la Ethiopia limechukua udhibiti wa Mekele - DW-WORLD´s Kiswahili Homepage
  Waziri Mkuu wa Ethiopia Abiy Ahmed amesema majeshi ya nchi hiyo yamechukua udhibiti wa mji mkuu wa jimbo la Tigray, Mekelle.
 • 29 November 2020: Kiongozi wa upinzani atiwa mbaroni Togo - DW-WORLD´s Kiswahili Homepage
  Mmoja kati ya wapinzani wakuu wa nchini Togo ametiwa mbaroni Jumapili hii kwa kile kilichoelezwa "kuhatarisha usalama wa taifa."
 • 28 November 2020: Israel yanyooshewa kidole mauaji ya mwanasayansi wa Iran - DW-WORLD´s Kiswahili Homepage
  Waziri wa mambo ya kigeni wa Iran Javad Zarif amesema kuna ushahidi unaoashiria uhusika wa Israel katika mauaji ya Mohsen Fakhrizade lakini haikuwa wazi ni nani hasa aliyefanya shambulizi hilo.
 • 27 November 2020: Walioambukizwa corona Ujerumani wafika milioni moja - DW-WORLD´s Kiswahili Homepage
  Ujerumani imefikisha idadi ya watu milioni moja walioambukizwa virusi vya corona huku wataalamu wa Marekani wakihofia sherehe za kutoa shukrani maarufu kama 'Thanks giving' huenda zikasababisha watu zaidi kuambukizwa.

BBC SWAHILI

IPS SWAHILI